Mashindano ya urembo ya albino kufanyika Kenya
- Oktoba 2016
Kuwa mlemavu wa ngozi au albino barani Afrika mara nyingi
imekuwa ikihusishwa na imani potofu ikiwemo ya ushirikina na kufanya
albino wengi kukabiliwa na unyanyapaa na kutengwa na jamii zao.
Kwa sasa vijana wa jamii ya albino huko nchini Kenya wamejikusanya wakijiandaa na onyesho la Miss na Mr Albino litakalofanyika hii Ijumaa.
Onyesho hilo lina lengo la kuwatia moyo watu wenye ulemavu wa ngozi na pia kubadili mtazamo wa jamii kuwa albino ni watu kama wengine.
Dayo Yusuf alitembelea kambi ya wana mitindo hao wakati walipokuwa katika maandalizi ya mwisho mwisho kuelekea kwenye onyesho hilo na kutuandalia taarifa hii ifuatayo .

No comments:
Post a Comment