Tuesday, 14 March 2017

NAMNA YA KUWEKA SHARING BUTTONS KATIKA BLOG NA WEB SITE YOYOTE

Jinsi ya kuweka sharing buttons kama za kwenye  hii blog (jaypaul360@gmail.com).
 ZA WhatsApp, FB Twitter etc.​ 



UMUHIMU WAKE NI:

  • Kumsaidia msomaji aweze ku share habari sehemu mbali mbali.

                    CHAKUFANYA.
   >>>: Click hio blog yako, then nenda sehm ya template clic
Ingia customize
Kwnye hio tab ingia addthis.com
: ingia hapo get started hapo
Unaweza kuchagua kujoin by facebook
Click hapo get share buttons
nadhan utakuwa kwenye dashboard yako, sasa from hapa maelezo yatakuwa yanajieleza yenyewe ila n ya akili sana
then copy hio html code bila kukosea
Ukishaikop twende kule kwenye ulifungua blogger, halafu click template
Nenda hapo palipoandkwa Edit HTML
: Ehhe, sasa fanya kama unaclick sehem yoyote ndani ya hio html, halafu bonyeza Control + F kwa wakati mmoja ili ilete sehemu ya kusearch
: sasa kwnye hicho kibox cha kusearch andka </body> bila kkukosea then bonyeza enter ili isearch
 Hapo juu ya </body> pana code imeandkwa </script>,sasa weka cursor mwisho wa hio code, yani baada ya > then bnyeza enter ili mstar usio na code utokee, then kwenye huo mstari usio na kitu paste ile code uliyokopy kule mwanzo, then Click save template
1. Ukishasave rudi kule kwnye addthis, kule tulipotoa code za mwanzo, from here kuwa makini
: Sasa pale tulipokop ile kuna tena code nyngne ipo kama hii, <!-- Go to www.addthis.com/dashboard to customize your tools -->
<div class="addthis_sharing_toolbox"></div>, sasa ikop hio pia, halafu turudi kule nyuma kwnye bloggerr tena, then pale juu ya </body> weka tena mstari usio na code then paste hio code uliyokop sasa.....fanya hivo then save template tumalize mchezo sasa hv
: Hapo kwnye Services ndio pamsing, chagua Select Your Own, ili uchague button unazozitaka mwenyewe,  chagua tano za msingi kwa kuiclik mara moja then bonyeza kistari cha kuipeleka kulia kuliko empty, za muhm n facebook, whatsapp, gmail. twitter, na email, fanya chap

: Yah whatsapp iko chini kwnye W

No comments:

Post a Comment