- Mango picles ni (achari) au (appetizer) nzuri kwa asali ya chakula.
- Malighafi kubwa zaidi ni embe bichi.
MATAYARISHO.
- Maembe ya safishwe vizuri kwa kuosha vizuri kwakutumia maji safi na maembe ya oshwe kabla hayaja menywa.
- Embe likatwe katwe vipande bila kugusa kokwa,Vipande ivyo viwekwe kwenye kichanja baada ya kukatwa na vianikwe juani kwa muda wa nusu saa.
- Hifadhi embezako hizo kwenye chombo kisafi waweza acha humo kwa muda wa siku 5.
- Kwamfano embe ulilonalo ni moja tayari viungo kama nyanya vitunguu,mafuta ya kupikia,chumvi.
- Tayarisha nyanya 1/2Kg,menya maganda na kukatakata vipande vidogo.
- Katakata vitunguu vikubwa vi 2.
- Chumvi vijiko viwili vya chai.
- Kijiko kimoja cha chai kwaajili ya kuifanya mango piko yako isiharibike.
- Maji ya limau vijiko 2 vya chai.
- Tengeneza posti ya mchanganyiko huo.Baada ya kutayarisha(rosti)hiyo,chukua vipande vyako vya embe na kuchanganya na rosti hio.
- Kwa rosti hii embe tumia moja lenye ujazo wa 1/4kg.
- Weka kwenye chombo na ufunge mfuniko vizur acha kwa 3-4 siku.
- kisha enjoy mango piko yako.
No comments:
Post a Comment