Labels

Sunday, 23 April 2017

JINSI YA KUTENGENEZA APP ZA ANDROID KWANJIA RAHISI



1)Kumbuka kuwa na compyuta au laptop pamoja na intanet isio sumbua,picha na logo mbali mbali za kuweka kwenye app yako utakayo tengeneza.

2)Pia ni muhimu kuwa na simu yako aina ya android kwaajili ya kutest app yako kabla huja weka kwenye masoko ya android kama play store au Amazoni store.

3)Kwa kuanza ni vyema ukajua unataka kutengeneza program ya aina gani,zifuatazo ni baadhi ya tovuti  zitzkazo kuwezesha kutengeneza program  kutokana na mahitaji yako, lakiani sisi tuta tumia program ya ADROMO kama mfano wetu wa leo .



1.Kinetise                                                  

2.ADROMO.

3. Mobile Roadie

4.Buzz Touch

5.Good Barber

6. como Diy




kwanza ingia katika tovuti ya Adromo kisha tengeneza akaunti kwenye tovuti hiyo,hakikisha unatumia email au barua pepe ambayo utaweza kuingia wakati wowote hii ni muhimu sana kwani program yako itatumwa kwenye barua pepe hiyo
baada ya kumaliza kutengeneza programu hio.hivyo hakikisha unatumia email sahihi.

Baaada ya kujisajili na kuhakiki akaunti yako, ingia kwenye akaunti yako kisha utaona sehemu ilio andikwa Create New App click hapo kisha utaletewa sehemu yakujaza jin la project hakikisha unaandika jina la program yako kisha bofya create,baada ya hapo utapelekwa kwenye ukurasa ulio andikwa your App Activities apo uta takiwa kuweka aiana ya vitu ambavyo unataka program yako ifanye ,vitu vyote vina patikana baada ya kubofya sehemu ilio andikwa Add an activities.
 Ifuatayo ni listi ya vitu ambayo utatumia na kazi zake.


  • About-Hapa utaweka wa kuhusu program yako au wewe.
  • Audio player-Hapa utaweza kuweka sehemu ya kucheza mziki
  • Contact-Hapa uta weza kuweka anwani yako.
  • Email-Hapa uta weza kuweka barua pepe.
  • Facebook-Hapa utaweza kuweka ukurasa wa facebook.
  • Flicker-Hapa uta weza kuonyesha picha kutoka mtandao wa flicker.
  • Google play-Hapa utaweza kuonyeshab link kwenda kwenye google play.
  • HTML Archive-Hapa utaweza kuweka kurasa unao tumia HTML
  •      Twitter,website,you tube navinginevyo....
chagua aina ya kitu ambacho unataka program yako ifanye kisha jaza maswali utakayo ulizwa kisha endelea mlele kwa kuchagua sehemu ya style hapo utawza kuchagua rangi pamoja na aina ya stayle ambayo unataka program yako iwe,baada ya hapo endelea mbele kwa kuchagua sehemu ya dashboard
hapo uta chagua aina ya dashboard utakayo weza kutumia katika program yako(app yako)kisha save alfu endelea mbele kwa kuchagua service .
weka namba ya Google Analytics ilikujua watu wangapi wana angalia vitu kwenye program yako.Baada ya hapo utaenda kwenye Build  kisha chagua sehemu ilio andikwa Build my app kisha uta subiri kidogo ili upokee barua pepe yenye link ya kudownload App au program yako.

Ukimaliza hatua zote izo apo utakuwa ume fanikiwa kutengenez app yako bila ujuzi wowote.
uki kwama mahali usisite kuuliza.

No comments:

Post a Comment