Labels

Sunday 12 March 2017

Orodha ya Password 25 ambazo hutakiwi kutumia




leo tunakutea password 25 ambazo hutakiwi kutumia kabisa katika akaunti zako kwa mujibu wa SplashData.
Ngoja tukumbushane wale wanaopenda kutumia password rahisi kama majina yao, 1234, 12345678 au qwertyui au majina ya sehemu wanazotokea. Aina hizo za password hazifai kabisa kutumika katika akaunti zetu.
Hebu tuangalie orodha ya password mbaya zaidi ambazo hazifai kutumiwa kwa sababu
zimekuwa rahisi zaidi kudukuliwa na wadukuzi. Unaweza kuja hapa ili kuangalia mbinu za kutengeneza password zenye usalama zaidi.

No comments:

Post a Comment