Labels

Saturday 22 April 2017

Chelsea yaivuruga Tottenham kombe la FA

katika mchezo huo chelsea ili ichapa Tottenham mabao 4
Kwa 2.


Mchezaji wa chelsea ali wafanya Tottenham wakae kimya baada yq kupiga nduki ndefu na ku sababisha goli katika michuano ya nusu fainali ya kombe la FA yalio fanyika uwanja wa Wembley.

Chelsea alijipatia ushindi wa bao 4 kwa 2 hivyo kujikatia tiketi katika fainali za kombe hilo dhidi ya mshindi wa nusu fainali ya pili kati ya arsenal na manchester city.

Katika dakika ya 6 Willian ali iweka chelsea mbele kwa kupiga mkwaju mrefu ulio sababisha goli kabla ya goli la pili la penalt.


Harry kane alikua ame sawazisha kutoka kwa cross ilio pigwa na christia Ericksem kwa spers ambao wali sawazisha tena kupitia goli la Delle Ali.

Eden hazard ali iweka chelsea mbele kabla ya Matic kufunga bao la nne na kuiweka kifua mbele chelsea.



No comments:

Post a Comment