Labels

Friday 21 April 2017

Simanzi kwa wacheza mpira na mashabiki wa mpira duniani.

ugo-ehiogu2.jpg



Mchezaji wa zamani wa England Ugo Ehiogu ame fariki dunia baada ya kupata mshtuko wa moyo akiwa katika kituo cha mazoezi cha Tottenham Hotspur.
Taarifa ya Spurs ilsiema Ehiogu alifariki mapema Ijumaa akiwa hospitalini.
Ehiogu, ambaye alikuwa mkufunzi wa timu ya Spurs ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 23, alipata mshtuko wa moyo siku ya alhamis akiwa katika uwanja wa mazoezi wa Tottenham.
Ehiogu ambae alikwisha ichezea England mechi nne na kuipatia bao moja alipatiwa matibabu uwanjani apo kabla haja pelekwa hospitalini kwa ambulance.
"Hatuwezi kueleza majonzi na huzuni tuliyo nayo katika klabu hii," mkuu wa ukufunzi na ustawi wa wachezaji Tottenham John McDermott alisema.

Ugo Ehiogu
Ehiogu alikua na mke, Gemma na watoto, club hio ya England ilipeleka salamu za pole kwenye familia ya mkufunzi huyo Ehiogu alie iaga dunia gafla, 
“tuta endelea kuwapa habari pindi tutakapo pata updates nyingine.
Baadhi ya picha za Ehiogu kipindi cha Uhai wake.
Image result for ehiogu ugo
Image result for ehiogu ugo

Mshirikishe na mwenzako.









No comments:

Post a Comment