Labels

Friday 21 April 2017

Jinsi ya kudownload Movies na series mpya kwa kupitia simu yako

Kwa namna moja ama nyingine wengi tunapenda filamu(movies) au Tamthilia(series) na kama wew ni moja wapo basi hii ni kwaajili yako.Njia hii ni rahisi sana na itakusaidia kuangalia movies mpya au series hata hazija fika kwenye baadhi ya kumbi za sinema hapa Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla .

Kwakuanza  Download app hii kisha install vizuri kwenye simu yako,Ukimaliza Download tena app hii kisha install kwenye simu yako, ukimaliza yote hayo endelea kwa kuangalia video hii fupi apo chini ambayo itakueleza zaidi,ukimaliza utakua umefanikisha yote kirahisi kabisa,kumbuka ku share na kama ume kwama mahali usisite kuuliza hapo chini kwenye maoni.

kumbuka pia MX player ni muhimu kama unataka kuangalia live. MX player ipo play store.





No comments:

Post a Comment