Labels

Thursday 20 April 2017

UMUHIMU WA KULIA.





KWANINI KULIA KUNA FAIDA?

1)Husaidia kuondoa uchafu kwenye macho.

2)Ina saidia kutoa sumu kwenye tishu za mwili na viungo.

3)Enzyme(lysozyme) zinazotoka na machoz husaidia kuua bakteria na virusi.

4)Ina saidia kuona vizur kwa ku loanisha jicho ili kupata mzunguko mzuri.

5)Unapo lia kuna homoni(Enkephalins) zina tolewa na kusaidia kupunguza uchungu.

6)Kulia husaidia kupunguza msisimko mbaya(hasi)



No comments:

Post a Comment