Labels

Sunday 23 April 2017

Tuzo ya PFA Uingereza ya muangukia N'Golo Kante.

Ngolo Kante mchezaji bora wa mwaka wa PFA MISMU WA 2016 -2017
Kiungo wa klabu ya Chelsea Ngolo Kante ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa chama cha wachezaji wa kulipwa nchini England PFA kwa msimu wa 2016-17.

Kiungo huyo wa chelsea aamka kidedea  baada ya kuwapita nyota wengine wa ligi hiyo Eden Hazard, Harry Kane, Romelu Lukaku, Zlatan Ibrahimovic na Alexis Sanchez waliokua wakiwani tuzo hiyo pia.

No comments:

Post a Comment