Labels

Sunday 23 April 2017

Maneno 20 ya Nape kuhusu vurugu kwenye mkutano wa CUF




April 22 2017 Chama cha wananchi CUF kilifanya mkutano wake na waandishi wa Habari maeneo ya Manzese Jijini Dare es Salaam ambapo walijitokeza watu wasiojulikana na silaa na kuwapiga viongozi na wanachama wa chama hicho pamoja na waandishi
wa habari. Sasa leo April 23 2017 kupitia ukurasa wa Twitter wa mbunge wa Mtama Nape Moses Nnauye ameyaandika haya.

 ameyaandika haya kuhusiana na vurugu hizo zilizosababishwa na watu hao wasio julikana….>>>Siasa ni ushindani wa HOJA sio NGUVU! Tunaenda wapi huku jamani?! Wanavamia na kutoroka??!! How?!! Siasa imevamiwa na manungayembe sasa” – Nape kwa maelezo zaidi soma hapa.

No comments:

Post a Comment